Dk.Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji.
06 Nov 2017
628
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) akiongozaa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,cha Wizara ya Ujenzi,
Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja, 06/11 /2017
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM,pia Kaimu
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum (wa pili kulia) alipokuwa akichangia wakati wa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi
kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,cha Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia),akiwepo na Waziri Balozi Ali Abeid Karume na Naibu wake Mohamed Ahmed Salum
(kushoto),06/11 /2017
Wakurugenzi wa Idara zilizokatika Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wakiwa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,06/11/2017.
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Balozi Ali Abeid Karume (katikati) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo **kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine ni ** Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM Nd,Salum Maulid Salum(kulia) na Naibu wa Wizara hiyo Mhe.Mohamed Ahmed Salum 06/11/2017.