State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mombasa Unguja katika sala ya Ijumaa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akigawa misahafu kwa Waumini wa Dini ya Kiislam iliyotolewa na Taasisi ya Ahmad Mohamed Al –Falasi kwa Waumini wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhja Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Imamu wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Sheikh. Ali Yunus Mbwana, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) aliyekaa katika kiti Sheikh Ahmad Mohamed Al Falasi,Kiongozi wa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al Falasi,wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Balozi wa Switzerland Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar(Zanzibar Door) mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Didier Chassot,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake (kulia kwa Rais) Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Didier Chassot,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa China Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi mpya wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe.Chen Mingjian,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika kazi zake Zanzibar.Mhe. Zhang Zhzsheng.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe Chen Mingjian alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe Chen Mingjian alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa uhuishaji na uimarishaji wa Mfumo wa usambazaji wa maji Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Mwakilishi wa Kampuni ya L&T Construction Bw.Hari Prakash,(kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji wa Maji Zanzibar, mradi huo wa ujenzi wa matangi ya maji katika eneo la Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya ujenzi wa Mradi wa Matangi ya Maji Safi na Salama Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar,ikiwa ni Wiki ya Maji Duniani,(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu(ZAWA)Dkt. Salha Mohamed Kassim, akitowa maelezo ya Kitaalamu ya ujenzi wa Matangi ya Maji Safi na Salama Kwarara Kidutani, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar, ikiwa ni Wiki ya Maji Duniani.(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maji Nishati na Madini Mhe. Shaib Kaduara
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ujenzi wa matangi ya maji ya Mradi huo Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharini “B” Unguja ikiwa sambamba na maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitambaa kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar, na(kushoto kwa Rais)Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar.Mhe Shaib.Kaduara akiwa na Viongozi wa Wizara na ZAWA wakishiriki kuondoa kitambaa,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,ikiwa sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ujenzi wa matangi ya maji ya Mradi huo Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharini “B” Unguja ikiwa sambamba na maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji Maji Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ujenzi wa matangi ya maji ya Mradi huo Kwarara Kidutani Wilaya ya Magharini “B” Unguja ikiwa sambamba na maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani.
  • WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Uhuishaji na Uimarishaji wa Mfumo wa Usambazaji wa Maji Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Tovuti ya programu ya ufundishaji kiswahili mtandaoni,wakati wa ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani, lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha(AICC).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali wa SMZ na SMT, baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha, kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika Mkoani Arusha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia moja ya ngoma ya utamaduni baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani, lililofanyika katika ukumbi huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali wa SMZ na SMT,baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha,kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika Mkoani Arusha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia moja ya ngoma ya utamaduni baada ya kuwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha(AICC)kwa ajili ya ufungaji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani,lililofanyika katika ukumbi huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Vitabu mbalimbali vya Kiswahili vikioneshwa wakati wa ufunganji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha.(AICC).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Vitabu mbalimbali vya Kiswahili vikioneshwa wakati wa ufunganji wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha.(AICC).