State House Blog

Rais wa Zanzibar akizungumza na Uongozi wa Istiqama Charitable Organization.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization unaoongozwa na Mwenyekiti wake Bw,Salum Mohamed Salum (wa tatu kushoto) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization Bw.Salum Mohamed Salum (wa pili kulia) wakati Uongozi wa Jumuiya hiyo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiagana na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization baada mazungumzo na Uongozi huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kusalimiana