State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi amejumejumuika na   wananchi wa Mbuzini katika sala ya Ijumaa

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Masjid Al –Jalil baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar naMw enyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Hussein Ali Mwinyi, akiwasalimia Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
  • KATIBU wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume akizungumza na kutowa mawaidha kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi. kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa,iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
  • KHATIBU Mohammed Omar Ali akitowa hutba ya Sala ya Ijumaa kwa Waumuni wa Dini ya Kiislam katika Masjid Al –Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Masjid Al-Jalil Mbuzini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja. Sheikh Said Mohammed Said na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, alipowasili katika masjid hiyo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa.