Dkt. Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya nane ni kufanya Mageuzi makubwa katika Sekta ya Michezo kwa kujenga Viwanja vya Kisasa ili kuibua Vipaji na kufundisha Wataalamu wa michezo mbalimbali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema lengo kuu la Serikali ya Awamu ya nane ni kufanya Mageuzi makubwa katika Sekta ya Michezo kwa kujenga Viwanja…

Read More

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema mwenendo wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi unatoa taswira ya ushindi na kukubalika kwa Chama hicho na Watanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema mwenendo wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi unatoa…

Read More

Dkt.Mwinyi, amesema Serikali ina mpango maalum wa ujenzi wa majengo ya Afisi za Serikali, Baraza la Wawakilishi na Mahakama ili kuimarisha uwajibikaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ina mpango maalum wa ujenzi wa majengo ya Afisi za Serikali, Baraza la Wawakilishi na Mahakama…

Read More

Michezo ya Majeshi Tanzania ni kielelezo cha ushirikiano na umoja wa kitaifa wa vyombo vya ulinzi nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Michezo ya Majeshi Tanzania ni kielelezo cha ushirikiano na umoja wa kitaifa wa vyombo vya ulinzi…

Read More

Dkt. Hussein Mwinyi amerejesha fomu za Uteuzi ZEC

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM Zanzibar, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amerejesha fomu za uteuzi katika Tume ya Uchaguzi…

Read More