Amani ya nchi ndio hoja ya kwanza ya Msingi ya Chama Cha Mapinduzi.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Amani ya nchi ndio hoja ya…
Read More