Rais Mwinyi Aahidi Kuendelea Kuwajengea Uwezo Walimu Na Kuiimarisha Sekta Ya Elimu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha sekta ya elimu, maslahi na mazingira ya kazi ya walimu ili kuwaongezea…

Read More

Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka viongozi wa siasa, viongozi wa dini pamoja na waandishi wa habari kuhakikisha wanahimiza amani na utulivu wakati Taifa linaelekea katika Uchaguzi Mkuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka viongozi wa siasa, viongozi wa dini pamoja na waandishi wa habari kuhakikisha wanahimiza amani…

Read More

Dkt. Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaimarisha Viwanja vya Michezo kukidhi viwango vya Kimataifa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inalenga kuviimarisha viwanja vya michezo nchini ili viwe bora na kukidhi viwango vya kimataifa.Amesema…

Read More