Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekihakikishia Chama cha Mawakili Zanzibar kuwa Serikali inathamini na kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na taasisi hiyo ya kuwasaidia wananchi katika masuala ya kisheria.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekihakikishia Chama cha Mawakili Zanzibar kuwa Serikali inathamini na kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi amewasisitiza Mabalozi kukuza Diplomasia ya Uchumi Kimataifa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza mabalozi wanaoenda kuiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali kuweka kipaumbele katika…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi ameongoza Dua ya kumuenzi Hayati Karume.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi wa kitaifa, wanafamilia na wananchi mbalimbali katika dua maalum ya kumuombea aliyekuwa…

Read More

Alhaj Dkt.Hussein Mwinyi,amejumuika na wanafamilia, Viongozi wa Serikali katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na wanafamilia, viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na wananchi mbalimbali katika…

Read More