Alhaj Dkt.Hussein Mwinyi,amejumuika na wanafamilia, Viongozi wa Serikali katika dua maalum ya kumuombea Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na wanafamilia, viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na wananchi mbalimbali katika…
Read More







