Media

Hotuba ya Waziri wa Nchi Afisi ya Rais - Ikulu   Mheshimiwa Dkt. Saada Mkuya Salum (MBM) kuhusu makadirio ya mapato na matumizi   kwa mwaka wa Fedha 2026/2027.

YALIYOMO ORODHA YA VIAMBATANISHO .......................................................iv VIFUPISHO VYA MANENO ................................................................vi UTANGULIZI .........................................................................................1…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi ameshiriki Dua ya kumuombea Sheikh Abuubakar Al-Abassy, na kutoa pole kwa Familia ya Waziri Nadir Al-Wardi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika dua maalum ya kumuombea marehemu Sheikh Abuubakar bin Said…

Read More

Dkt Hussein Ali Mwinyi ameyakaribisha Makampuni na Wawekezaji wa Uturuki kuwekeza Nchini hususan katika Maeneo ya Biashara, Nishati na Miundombinu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameyakaribisha Makampuni na Wawekezaji wa Uturuki kuwekeza Nchini hususan katika Maeneo ya Biashara ,Nishati na Miundombinu.Rais…

Read More