News and Events

Rais Mwinyi ametangaza Mawaziri Wateule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza uteuzi wa Mawaziri na Manaibu Mawaziri wateule, hatua inayolenga kuimarisha kasi ya maendeleo katika…

Read More

Rais Mwinyi amezindua Baraza La 11 la Wawakilishi, atoa Mwelekeo wa Serikali Kipindi cha Pili cha Awamu ya Nane

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar na kutoa mwelekeo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…

Read More

RAIS Mwinyi amemuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Hemed Suleiman Abdulla…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.Hafla ya uapisho imefanyika leo tarehe…

Read More