News and Events

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imelishukuru Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kwa jitihada zake za kuendelea kuungamkono juhudi za serikali kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imelishukuru Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kwa jitihada zake za kuendelea kuungamkono juhudi za serikali kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo.Rais…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Serikali ya Saudi Arabia kwa jitihada kubwa wanayoitoa Tanzania kuungamkono miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo sekta ya Afya, maji, miundombinu ya barabara n.k

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Serikali ya Saudi Arabia kwa jitihada kubwa wanayoitoa Tanzania kuungamkono miradi mbalimbali ya maendeleo…

Read More

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imejikita kuleta mageuzi makubwa kwenye sekta zote za maendeleo pamoja na kuwajengea uwezo watu wake ili kuongeza kasi ya uchumi nchini.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imejikita kuleta mageuzi makubwa kwenye sekta zote za maendeleo pamoja na kuwajengea uwezo watu wake ili kuongeza kasi ya uchumi nchini.Rais wa Zanzibar…

Read More