News and Events

Ndoto ya Zanzibar ni kujitosheleza kwa uzalishaji wa kuku imetimia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar sasa imefanikiwa kujitosheleza katika uzalishaji wa kuku, hatua itakayopunguza utegemezi…

Read More

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuimarisha Mfumo wa Kidigitali katika kudhibiti ajali na Makosa ya Barabarani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kujipanga kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidigitali ili kudhibiti vifo vinavyotokana…

Read More

Rais Mwinyi amefungua Flyover ya Dkt.Hussein Ali Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali itawalipa fidia wananchi wote waliopisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo…

Read More

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuendelea kujenga Masoko ya kisasa katika kuimarisha Biashara Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea na ujenzi wa masoko ya kisasa katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar kwa lengo la kuwawezesha…

Read More