Dk. Hussein Ali Mwinyi amekamilisha ziara yake katika Wilaya zote za Unguja na Pemba na kueleza jinsi alivyoridhika na hatua iliyofikiwa katika miradi mbali mbali ya maendeleo aliyoitembelea.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekamilisha ziara yake katika Wilaya zote za Unguja na Pemba na kueleza jinsi alivyoridhika na hatua iliyofikiwa…
Read More