News and Events

Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman anayeshughulikia Fedha na Utawala Mohammed Nasser Al Wahaibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman anayeshughulikia Fedha na Utawala Mohammed Nasser Al Wahaibi…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Baraza la Mji Kati kwa kutekeleza kwa vitendo maagizo aliyoyatoa katika ziara yake ya mwaka jana na kueleza jinsi ya Mkoa wa Kusini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amelipongeza Baraza la Mji Kati kwa kutekeleza kwa vitendo maagizo aliyoyatoa katika ziara yake ya mwaka jana na kueleza…

Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Ardhi, Nishati na Madini kuanza Programu maalum ya kuhakikisha inatoa Hati miliki katika maeneo yote ya Serikali ili kuzuia uvamizi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Ardhi, Nishati na Madini kuanza Programu maalum ya kuhakikisha inatoa Hati miliki katika maeneo…

Read More