Alhaj Dk, Hussein Ali Mwinyi amewanasihi Waumini wa Dini ya Kislamu kuitumia Misikiti vizuri kukabiliana na Changamoto katika jamii.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk, Hussein Ali Mwinyi amewanasihi Waumini wa Dini ya Kislamu Kuitumia Misikiti Vizuri Kukabiliana na Changamoto Katika jamii.Alhaj…
Read More