Media

CCM Itashinda Uchaguzi Kwa Kutekeleza Vema Ilani

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa kuna kila sababu ya kushinda Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwa Ilani ya CCM imetekelezwa kikamilifu kwa vitendo.Dkt. Mwinyi…

Read More

Tuwaombee Mahujaji Na Kuiombea Nchi Amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaaga rasmi Mahujaji wa Zanzibar wanaotarajiwa kuelekea katika miji mitakatifu ya Makka na Madina mwaka…

Read More

RAIS MWINYI:Tuziimarisheni Madrasa na kuwasaidia kuwasaidia Mashekhe na Walimu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Waislamu , Wahisani na Wafadhili kuelekeza nguvu zao Kuziimarisha Madrassa kwani nyingi ziko katika…

Read More

Mama Maryam Mwinyi ameihakikishia Finland kuwa iko tayari Kushirikiana nayo Kuhakikisha Malengo ya Kuwakomboa Wànawake na Watoto dhidi ya Vitendo vya Udhalilishaji

Mwenyekiti na Msarifu wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Maryam Mwinyi ameihakikishia Finland kuwa iko tayari Kushirikiana nayo Kuhakikisha Malengo ya Kuwakomboa Wànawake na…

Read More