Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema hakuna neema kubwa zaidi ya Amani na kuwahimiza Waumini na Wananchi kuidumisha neema hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema hakuna neema kubwa zaidi ya Amani na kuwahimiza Waumini na Wananchi kuidumisha neema hiyo. ALhaji Dkt, Mwinyi…

Read More

Michezo ni nyenzo muhimu na alama ya kuwaunganisha watu wa jamii na mataifa mbalimbali katika kuimarisha ushirikiano, upendo na umoja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema michezo ni nyenzo muhimu na alama ya kuwaunganisha watu wa jamii na mataifa mbalimbali katika kuimarisha…

Read More

Rais Mwinyi amezindua mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameuzindua rasmi Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi, na kuutaka Mfuko wa Hifadhi…

Read More