Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Kamishna Mkuu wa TRA Ikulu Zanzibar.
09 Aug 2021
294
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw.Alphayo J.Kidata alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-8-2021
RAIS wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Kamishna Mkuu wa TRA Tanzania Bw.Alphayo J.Kidata,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo
yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-8-2021