State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Hoteli ya Kitalii ya Emaralad Resort and Spa P-Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja

  • BAADHI ya wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023.
  • BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati akitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin jana 28-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika jana 28-1-2023