State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union kutoka nchini Misri Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 24-9-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri Dr. Hossam Darwish baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-9-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-9-2022.