Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Ujumbe wa Mabalozi kutoka Nchi za Nordic ikiwemo Denmark,Finland, Norway na Sweden.
25 May 2021
275
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiagana na Ujumbe wa Mabalozi kutoka Nchi za Nordic ikiwemo Denmark,Finland, Norway na Sweden walipofika Ikulu jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo
Mabalozi kutoka Nchi za Nordic wakifuatilia kwa makini wakati wa Mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupi pichani) yaliyofanyika Ikulu Jijini
Zanzibar leo(kutoka kulia) Balozi Elizabeth Jocobse Nchini Norway,Balozi
Anders Sjoberg nchini Sweden,Balozi Mette Nargaard Dissing-Spandet nchini Denmark na Balozi Ritta Swan Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Mabalozi kutoka Nchi za Nordic (kutoka kulia) Balozi Elizabeth Jocobse Nchini Norway, Balozi Anders Sjoberg nchini Sweden,Balozi Mette Nargaard Dissing-Spandet nchini Denmark na Balozi Ritta Swan Nchini Finland (hayupo pichani)walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.