State House Blog

Mke wa Rais Wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ametoa Mkono wa Eid El Fitry kwa watoto wa Kijiji cha SOS na watoto wa nyumba ya watoto Mazizini Unguja.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Wazee Jinsia na Watoto Bi.Abeida Rashid Abdalla (kushoto kwake) na Watoto wake Jamila Hussein Mwinyi na Siti Hussein Mwinyi, wakiwa wamepakata watoto wanaolelewa katika Nyumba ya Watoto Mazizini Jijini Zanzibar Wilaya ya Magharibi "B" Unguja
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Mtoto anayelelewa katika Nyumba ya Watoto Mazizini Hawa Abdalla, alipofika kuwatambelea na kutoa mkono wa Eid El Fitrey.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia na kutowa nasaha zake kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto ya Serikali Mazizini Jijini Zanzibar Wilaya ya Magharibi B Unguja.
  • WATOTO wa Nyumba ya Watoto Mazizini Jijini Zanzibar wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika kjatika makazi yao kwa kuwasalimia na kutoa mkono wa Eid El Fitryt.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa SOS (kulia kwake) Wahida Abdalla na (kushoto kwake) Yusseuf Abdalla, baada ya kumalizika kwa hafla ya kutowa mkono wa Eid El Fitry kwa Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar alipofika kuwasalimia na kuwapa mkono wa Eid El Fitry Kijijini Kwao Mombasa Jijini Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Maria Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watoto wa Kijiji cha SOS alipofika kuwasalimia na kuwapa mkono wa Eid El Fitry, alipofika katika makazi yao Mombasa Wilaya ya Magharibiu B Unguja.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Mtoto wake Tariq Hussein Mwinyi wakitowa mkono wa Eid El Fitry kwa Watoto wa Kijiji cha SOS, alipofika kuwasalimia na kutowa mkono wa Eid