Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwiny i amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislam katika sala ya isha na Tarawekh Iliofanyika Masjid Magh-Fira
19 Apr 2021
290
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia Dua baada ya
kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid
Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh, Ali Hemed Jabir (Maalim Aliyani) hayupo pichani baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika jana usiku 17-4-2021 katika Masjid Magh –Fira Mlandege Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia Dua ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabiri (kulia kwa Rais) na Ust. Kombo Bain a (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar heikh. Khalid Ali Mfaume, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar jana usiku 17-4-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam wa Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Ibada ya
Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam wa
Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Ibada ya