Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewatembela Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi na Waziri Kiongozi Mstaaf Mhe. Shamsi Nahoza
04 Jun 2021
320
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
kumtembelea na kumjulia hali yake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake chukwani Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja kumjulia hali leo 5/6/2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake Chukwani Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
kumtembelea na kumjulia hali yake.