Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua mkutano mkuu wa Madaktari wa Upasuaji Tanzania.
10 Jun 2021
329
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuata na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (katikati) pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar kuufungua Mkutano wa Mkuu wa Madaktari wa Upasuaji Tanzania(TSA).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein
Ali Mwinyi (mbele wa tatu kushoto) akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi
rasmi wa Mkutano wa Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA)alioufungua leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya
Jiji la Zanzibar(kushoto mbele) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu
Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
Baadhi ya washiriki katika Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Hoteli ya Madinat AL Bbahar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa
akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Mkutano huo ulioanza leo.
Mkurugenzi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk.Marijani Msafiri alipokuwa akitoa maelezo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 26 wa Madaktari wa Upasuaji Tanzania(TSA) ulioanza leo katika Hoteli ya Madinat Al Bahar, Nje ya Jiji la Zanzibar na kufunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati).
Rais wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania(TSA)Prof. Catherine Mngongo alipokuwa akitoa maelezo kuhusu chama hicho wakati
wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 26 wa Madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA)
ulioanza leo latika Hoteli ya Madinat Al Bahar, Nje ya Jiji la Zanzibar.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(kushoto)alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) kuufungua rasmi wa Mkutano wa Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) leo katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar (katikati) Rais wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) Prof. Catherine Mngongo.
Baadhi ya washiriki katika Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Hoteli ya Madinat AL Bbahar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa
akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Mkutano huo ulioanza leo.
Rais wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania(TSA) Prof. Catherine Mngongo alipokuwa akitoa maelezo kuhusu chama hicho wakati
wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 26 wa Madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA)
ulioanza leo latika Hoteli ya Madinat Al Bahar,Nje ya Jiji la Zanzibar.
Baadhi ya washiriki katika Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji Tanzania (TSA) wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Hoteli ya Madinat AL Bbahar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa
akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Mkutano huo ulioanza leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo wakati alipotembelea maonesho yanayohusu masuala ya dawa na vifaa vya Afya baada ya ufunguzi rasmi wa Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji alioufungua leo katika Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akiangalia vifaa mbali mbali wakati
alipotembelea maonesho yanayohusu masuala ya dawa na vifaa vya Afya baada
ya ufunguzi rasmi wa Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji alioufungua leo katika Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar (kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto)akisalimiana wafanyakazi wakati
alipotembelea maonesho yanayohusu masuala ya dawa na vifaa vya Afya baada
ya ufunguzi rasmi wa Mkutano Mkuu wa madaktari wa Upasuaji alioufungua leo katika Hoteli ya Madinat -Al-Bahar Mbweni nje ya Jiji la Zanzibar (kushoto)