State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair,katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimshindikiza mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kwa mazungumzo akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.