State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Viongozi aliowateua hivi Karibuni hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Muumin Khamis Kombo kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • WAHESHIMIWA Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar na Mwanasheria Mkuu na Naibu Mwanasheria, wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Salma Ali Hassan kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • Bi.Salma Ali Hassan akiapa kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka,akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha. Bi.Mwanamkaa Abdulrahaman Mohammed kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-10-2021.
  • Bi.Mwanamkaa Abdulrahaman Mohammed kiapa kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika leo 30-10-2021 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kushoto) Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mwanasheria Mkuu Dkt.Mwinyi Talib Haji, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa hafla ya kuapishwa kwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar na Mwanasheria Mkuu na Naibu Mwanasheria Mkuu.
  • BAADHI ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wanafamilia wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Jaji wa Mahkama Kuu na Mkurugenzi wa Mashtaka na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MHE Muumin Khamis Kombo akiapishwa kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkwajuni Kidombo katika Dua Maalum na Kisomo cha Hitma

  • RAIS Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akimsalimia Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Tano Alhaj Dk.Salmin Amour Juma, alipofika nyumbani kwake Kijijini Kwao Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakati wa hafla ya Kisomo cha Dua Maalum iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo na (kushoto ) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Husseinn Ali Mwinyi, baada ya dua hiyo inayokwenda na sambamba na Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad.(S.A.W) hufanyika kilia mwaka katika Kijiji cha Kidombo Mkwajuni Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume,kushoto kwa Rais ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Tano Alhaj Dk. Salmini Amour Juma, Rais Mstaafu wa Tanzania Awamu ya Pili Alhaj.Ali Hassan Mwinyi
  • WANANCHI wa Mkwajuni Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika katika dua Maalum na kisomo cha Hitma iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo, inayokwenda sambamba na Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) hufanyika kila mwaka.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkwajuni Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kisomo na dua Maalum kuwaombea waliotangulia mbele ya haki, iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo, dua hiyo inayokwenda sambamba na Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman na (kushoto kwa Rais) Ndg. Amini Salimin Amour, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj.Othman Masoud Othman, Rais Mstaafu wa Tanzania Alhaj.Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkwajuni Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kisomo na dua Maalum kuwaombea Waliotangulia mbele ya haki,iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo, dua hiyo inayokwenda sambamba na Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman na (kushoto kwa Rais) Ndg. Amini Salimin Amour, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj.Othman Masoud Othman,Rais Mstaafu wa Tanzania Alhaj. Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuanza kwa dua Maalum ya kisomo cha hitma kuwaombea waliotangulia mbele ya haki, dua iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mkwajuni Kidombo, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kushoto kwa Rais) Mtoto wa Rais wa Zanzibar Mstaafu wa Awamu ya Tano Alhaj. Dk. Salmin Amuor Juma.Ndg.Amini
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkwajuni Kidombo Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kisomo na dua Maalum kuwaombea Waliotangulia mbele ya haki, iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Kidombo, dua hiyo inayokwenda sambamba na Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman na (kushoto kwa Rais) Ndg. Amini Salimin Amour, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj.Othman Masoud Othman, Rais Mstaafu wa Tanzania Alhaj.Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuanza kwa dua Maalum ya kisomo cha hitma kuwaombea waliotangulia mbele ya haki,dua iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mkwajuni Kidombo, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kushoto kwa Rais) Mtoto wa Rais wa Zanzibar Mstaafu wa Awamu ya Tano Alhaj.Dk. Salmin Amuor Juma.Ndg.Amini Salimin Amour.

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ahutubia Maadhimisho ya Miaka 76 ya UN ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea mabanda ya maonesho ya Vijana ya kuadhimisha Miaka 76 ya UN, yaliofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Zlatan Milisic
  • BAADHI ya Mabalozi Wadogo wanaofanyia Kazi zao Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa UN, katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • MBUNIFU wa kipimo cha Ujazo wa Mafuta katika Matenki ya Kuhifadhia Mafuta (Computerised System for Oil Measuring) Ndg. Hamid Abdullah Wailu,akitowa maelezo ya ubunifu wake huo wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa UN, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • MKURUGENZI wa SMIDA Bw. Soud Said Ali akitowa maelezo kuhusiana na Shindano la Kibunifu kwa Vijana Wajasiriamali kuhusiana na Uchumi wa Buluu,wakati wa kuwazawadia washindi wa shindano hilo sambamba na Maadhimisho ya Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea mabanda ya maonesho ya Vijana ya kuadhimisha Miaka 76 ya UN, yaliofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Zlatan Milisic na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar.Mhe.Nassor Ahmed Mazrui
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mmoja wa Vijana walioshinda Shindano la Ubunifu Barke Abdullah Ukusi.(hayupo pichani) akielezea Ubunifu wake wa Samaki Mtandaoni, wakati wa hafla ya kuadhimisha Miaka 76 ya Umoja wa Mataifa UN, yalioadhimisha Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh. Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Zlatan Milisic na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Uongozi wa Afrika College of Insuarance & Social Protection

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti Mtendaji wa Afrika College Of Insuarance & Social Protection Dr.Baghayo A.Saqware (wa pili kulia) akiwa na ujumbe wa Uongozi wa Chuo hicho walipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi wa Chuo cha Afrika College Of Insuarance & Social Protection uliongozwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Afrika College Of Insuarance & Social Protection Dr.Baghayo A.Saqware (kulia) mara baada ya mazungumzo na kujitambulisha walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti Mtendaji wa Dr.Baghayo A.Saqware (wa pili kulia) akiwa na ujumbe wa Uongozi wa Chuo hicho walipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisitiza jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe wa Uongozi wa Chuo cha Afrika College Of Insuarance & Social Protection unaoongozwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Afrika College Of Insuarance & Social Protection Dr.Baghayo A.Saqware (wa pili kulia) walipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Maulidi ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W)

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali na wa Kampuni ya Vigor, wakati akiwasili katika viwanja vya Kiwanda cha Zainab Bottles Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kuhudhuria Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad ( S.A.W) yaliyofanyika jana usiku,26-10-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Maulid ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Kiwanda cha Zainab Bottles Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • USTADH. Abdulrahaman Mwinyi Dedes Barzanj Mlango wan ne wakati wa Maulid ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Kiwanda cha Zainab Bottles Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yalioandaliwa na kampuni ya Vigor A Turky’s Companies
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya ufunguzi wa Maulid ya kuadhimisha Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Bw. Multaza Turky na (kushoto kwa Rais) Mhe Toufiq Turky Mwenyekiti wa Makampuni ya Vigor A Turky Group, wakitikia dua,hafla hiyo imefanyika katika kiwanda cha Zainab Bottles Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”Unguja jana usiku 26-10-2021.
  • USTADH Sayyid Abdulrahaman Al Habshy akisoma Quran Suratul Yasin wakati wa hafla ya Maulid ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yalioandaliwa na Kampuni ya ‘Vigor A Turky Group of Companies’yaliofanyika jana usiku 26-10-2021 katika viwanja vya kiwanda cha Zainab Bottles Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.