State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Hoteli ya Kitalii ya Emaralad Resort and Spa P-Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ,akitembelea hoteli ya Emarald Resort and SPA –Matemwe baada ya kuifungua rasmin jana 28-1-2023 katika Kijiji cha Matemwe na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Meneja Mkuu wa Hoteli ya Emarald Resort and SPA – Matemwe.Bw. Alfredo na Muwekezaji Bw.Francesco
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto) Muwekekazaji wa Hoteli hiyo Bw.Aldo Scarapicchia, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliyofanyika jana 28-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliofanyika jana 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Muwekezaji wa Hoteli Bw. Francesco na Meneja Mkuu wa Hoteli hiyo Bw. Alfredo na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Bw. Aldo Scarapicchia na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA.Bw. Sharif Ali Sharif.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika jana 28-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati akitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin jana 28-1-2023
  • BAADHI ya wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023.
  • BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023
  • BAADHI ya Mawaziri na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA – Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA– Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika jana 28-1-2023.
  • BAADHI ya wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 28-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Muwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA –Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati akitembelea hoteli hiyo baada ya kuifungua rasmin jana 28-1-2023.
  • MANJU wa Kikundi cha Sanaa cha JKU Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg. Ameir Saleh Suleiman akionesha umahiri wake wa ngoma ya Kibati wakati wa ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, iliyofunguliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliofanyika jana 28-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Muwekezaji wa Hoteli Bw. Francesco na Meneja Mkuu wa Hoteli hiyo Bw. Alfredo na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Bw. Aldo Scarapicchia na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA.Bw. Sharif Ali Sharif
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emarald Resort and SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto) Muwekekazaji wa Hoteli hiyo Bw.Aldo Scarapicchia, ufunguzi wa Hoteli hiyo uliyofanyika jana 28-1-2023