State House Blog

Uzinduzi wa Hotel ya Golden Tulip.

  • Waalikwaka waliohudhuria uzinduzi wa Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakifuatilia kwa makini na kusikiliza taarifa zilizotolewa katika sherehe ya ufunguzi wa hoteli hiyo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Nd,Shariff Ali Shariff alipotoa taarifa ya kitaalam kuhusu Uzinduzi wa Hoteli hiyo hapo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza (wa nne kulia) alipotembeleamaeneo mbali mbali katika “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” mara baada ya Uzinduzi wa Hoteli hiyo aliyoifungua leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip “ iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Waalikwaka waliohudhuria uzinduzi wa Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakifuatilia kwa makini na kusikiliza taarifa zilizotolewa katika sherehe ya ufunguzi wa hoteli hiyo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Rais Mstaaf wa Nigeria Mhe.Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu Wa Ethiopia.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, baada ya kutowa maelezo ya kitabu chao cha “Asian Aspiration” mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, baada ya kutowa maelezo ya kitabu chao cha “Asian Aspiration” mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • VIONGOZI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo akitwa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” wakati wa mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn akizungumza na kutowa maelezo ya kitabu cha “Asian Aspiration”, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • VIONGOZI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo akitwa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” wakati wa mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemariam Desalegn, kabla ya kuza kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu cha “Asian Aspiration” wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo akizungumza na kutowa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kabla ya kufanyika uzinduzi huo wa kitabu hicho katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemariam Desalegn, kabla ya kuza kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu cha “Asian Aspiration” wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu chake cha “Asian Aspiration” kabla ya kuzinduliwa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na (kulia kwake) Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu, kabla ya kuaza mazungumzo.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata R. Mulamula

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata R. Mulamula,alipofika Ikuli Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata R. Mulamula,alipofika Ikuli Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata R. Mulamula, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na (kulia kwake)Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe Balozi. Mbarouk Nassor Mbarouk, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata R. Mulamula, alipofika Ikuli Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.

Uzinduzi wa Kitabu cha Asian Aspiration Book.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili katika Hoteli ya Verde Mtoni Mjini Magharibi leo kuzindua kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (kulia) mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (hayupo pichani) mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemarium Desalegn mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn wakiwa wamesimama wakati wa kupigwa wimbo wa Taifa kabla ya Uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (hayupo pichani) mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (kulia) mara baada ya kukizindua leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kulia) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn(hayupo pichani) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn, uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Baadhi ya Washiriki na Waalikwa katika hafla ya Ufunguzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn kilichozinduliwa` leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Baadhi ya Washiriki na Waalikwa katika hafla ya Ufunguzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book"cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn kilichozinduliwa` leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kulia) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (hayupo pichani) uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi (katikati) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn, uliofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • Baadhi ya Washiriki na Waalikwa katika Ufunguzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn kilichozinduliwa`leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemarium Desalegn (hayupo pichani) uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Kongamano la harakati za kutokomeza vita Dhidi ya Uzalilishaji.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mfumo wa upokeaji katika Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar.
  • BAADHI ya Wageni waalikwa kutoka Taasisi mbalimbali za Kijamii wakifuatiulia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamanbo la Harakati la Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar,Tulipotoka,Tulipo na Tunakokwenda, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, lililoandaliwa na Jumuiya na Wanasheria Wanawake Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamanbo la Harakati la Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar.