State House Blog

RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua mfumo wa upokeaji wa taarifa sahihi za Udhalilishaji,wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Uzalilishaji

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Mfumo wa upokeaji katika Kongamano la Harakati za Kutokomeza Vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika katika Maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.( hayupo pichani) baada ya kutowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (Kichupa) aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja, maziko yaliofanyika Kijijini kwao Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (Kichupa) maziko yaliofanyika Kijiji kwao Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (Kichupa) alipofika nyumbani kwa marehemu kijijini kwao Jambiani.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe. Rashid Hadidi Rashid, wakiitikia dua ikisomwa na Sheikh.Hassan Simai Makame, baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (kichupa) yaliofanyika Kijijini kwao Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (Kichupa) maziko yaliofanyika Kijiji kwao Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia Dua ya kumuombea aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Marehemu Ramadhan Abdalla Ali (Kichupa)baada ya kumalizika kwa Sala ya Jeneza iliofanyika katika Masjid Salam Jambiani Kijijini kwao Mkoa wa Kusini Unguja.
  • VIJANA wa Chipukizi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Marehemu Ramadhan Abdalla Ali ( Kichupa) aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja, maziko yaliofanyika Kijijini kwao Jambiani.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Tuzo ya Heshima ya Juu ya “Legiond ” Honner” Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivishwa Tuzo aliyotunukiwa na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmanual Macron, Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER” akivishwa na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe Frederic Clavier, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, wakitoka katika ukumbi wa baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, wakitoka katika ukumbi wa baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Frederic Clavier, baada ya kumaliza mazungumzo na kumtunuku Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER” iliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmanual Macron, kwa Mchango wake mkubwa na ushirikiano wake alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Frederic Clavier akizungumza kabla ya kumvisha Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER” iliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Emmanual Macron.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizunguma na kutowa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe Emmanual Macron kwa heshima aliyompa ya kumtunuku Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER “ kwa mchango wake mkubwa wa ushirikiano alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizunguma na kutowa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe Emmanual Macron kwa heshima aliyompa ya kumtunuku Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER “ kwa mchango wake mkubwa wa ushirikiano alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kumvisha Tuzo ya juu ya Heshima inayofahamika kama “LEGION d” HONNER “ Tuzo hiyo iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmanual Macron, kutokana na Mchango wake mkubwa wa ushirikiano alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe Frederic Clavier (kulia kwake) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu, kabla ya kutunukiwa Tuzo ya Heshima ya Juu ya “LEGION d” HONNER” iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Emmanual Macron, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Frederic Clavier, baada ya kuwasili katika ukumbi kwa mazungumzo na kumkabidhi Tuzo ya “LEGION d” HONNER” iliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmmanual Macron, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair,katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimshindikiza mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara ya siku moja Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe.Tony Blair,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wa Uingereza Mhe. Tony Blair alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kwa mazungumzo akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.

Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki sala Msikiti wa Wireless Kikwajun Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Sala ya Ijumaa akiwa katika kawaida yake ya kushiriki Sala katika Misikiti mbali mbali Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar mara baada ya Sala ya Ijumaa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar mara baada ya Sala ya Ijumaa akiwa katika kawaida yake ya kushiriki Sala katika Misikiti mbali mbali Zanzibar.