State House Blog

Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar Suza Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Mahafali ya 17 ya Chuo hicho.

  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwatunuku Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, watika wa hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakati wa hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA)yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA)yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mwanafunzi Bora wa Cheti Cha Sayansi na Komputa Mhitimu Salma Abdi Naim, wakati wa Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mwanafunzi Bora wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Komputa.Muhitimu.Omar Saleh Suleiman, wakati wa Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunukia Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili “Doctor of Philosophy in Kiswahili” ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Muhitimu Saade Said Mbarouk, katika hafla ya Mahafali ya 17 ya (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwatunikia Wahitimu Wanne wa Shahada ya Uzamili ya Sanaa ya Kiswahili yaani “Master of Arts in Kiswahili”watika Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA)yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakifutilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA)Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 17 ya SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • WAHITIMU wa Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Usimamizi wa Maliasili na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi yaani”Master of Sciece in NuturalResources Management and Climate Change” baada ya kutunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakati wa mahafali ya 17 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwatunukia Wahitimu ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Shahada ya Uzamili ya Elimu katika Ufundishaji wa Kiswahili kwa Wazungumzaji wa Lugha Nyingine yaani ” Master of Education in Teaching to Speakers of Other Languages” wakati wa hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
  • WAHITIMU wa Shahada ya Ukunga na Uunguzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakila kiapo cha Utii na Uadilifu baada ya kutunukia Shahada na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya Mahafali ya 17 ya (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • WAHITIMU wa Shahada ya Ukunga na Uunguzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakila kiapo cha Utii na Uadilifu baada ya kutunukia Shahada na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya Mahafali ya 17 ya (SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakati wa hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwatunuku Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, watika wa hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo hicho yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA)yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha SUZA yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA) yaliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Wajumbe wapya wa Tume ya Mipango Zanzibar katika Ukumbi wa Ikulu.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.lela Mohammed Mussa, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 27-12-2021 Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Uchumu wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Abdalla Hussein Kombo,kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 27-12-2021 Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk. Rahma Salim Mahfoudh kuwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar. hafla hiyo iliyofanyika 27-12-2021, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali,kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 27-12-2021 Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe Mudrik Ramadhani Soraga, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe Omar Said Shaban, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Waziri wa Ardhi, Maendeleo na Makaazi Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma,baada ya kumuapisha kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mwanasheria Mkuu Mhe.Dkt. Mwinyi Talib Haji, kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika leo 27-12-2021, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe Jamal Kassim Ali,kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango,hafla hiyo iliyofanyika 27-12-2021, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kinmgozi Mhandisi Zena Ahmed Said, kuwa Mjumbe mpya wa Tume ya Mipango, hafla hiyo iliyofanyika 27-12-2021, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Vijana kwa Njia ya Mtandao wakati wa Mkutano Mkuu Kivuli wa Umoja wa Mataifa katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza kupitia njia ya mtandao katika Mkutano Mkuu wa Vijana Kivuli wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kwa mara ya kwanza wenye sura ya Kimataifa, wenye kauli mbiu “Fursa na Uwekezaji wa Vijana katika Uchumi wa Buluu”
  • RAIS wa Mkutano Mkuu wa Vijana Kivuli wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021,Ndg. Ahmada Salum Suleiman akiongoza Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar,unaozungumza Uchumi wa Buluu, ukiwa na kauli mbiu “Fursa na Uwekezaji wa Vijana katika Uchumi wa Buluu”.
  • MWAKILISHI kutoka Nchini Australia Ndg.Abdulsamad .M.Suleiman akijubu hija zilizoibuliwa na Wajumbe wa mkutano wa kwanza wenye sura ya Kimataifa Kivuli wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza kupitia njia ya mtandao katika Mkutano Mkuu wa Vijana Kivuli wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kwa mara ya kwanza wenye sura ya Kimataifa, wenye kauli mbiu “Fursa na Uwekezaji wa Vijana katika Uchumi wa Buluu”
  • MJUMBE wa Mkutano Mkuu Kivuli wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021,Mwakilishi kutoka Canada Ndg.Adil Ali Bakari,akichangia wakati wa mkutano huo wa Vijana uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, ukiwa na kauli mbiu “Fursa na Uwekezaji wa Vijana katika Uchumi wa Buluu”.
  • WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Kivuli wa Vijana wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021, wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza kupitia kwa njia ya mtandao (hayupo pichani) mkutano huouliofan yika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na kuwashirikisha Vijana mbalimbali,ukiwa na kauli mbiu “Fursa na Uwekezaji kwa Vijana katika Uchumi wa Buluu”.
  • WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Vijana Kivuli wa Umoja wa Mataifa Zanzibar 2021, wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza kwa njia ya mtandao, katika mkutano wa Mkuu Kivuli wa Vijana wa Umoja wa Mataifa, kwa mara ya kwanza wenye sura ya Kimataifa,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza mamia ya Wananchi katika maziko ya aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Nd.Issa Kassim (Baharia).

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu Sheikh Mahmoud Mussa Ngwali,baada ya kumalizika kwa sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Issa Kassim Issa,(Baharia) Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, iliofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Uroa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Issa Kassim Issa (Baharia) aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, baada ya kuwekwa mwili wa marehemu,maziko yaliyofanyika katika makaburi ya familia katika Kijiji cha Pongwe Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Issa Kassim Issa (Baharia) aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, baada ya kuwekwa mwili wa marehemu, maziko yaliyofanyika katika makaburi ya familia katika Kijiji cha Pongwe Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika Bandari ya boti za abiria wanaotokea Dar es Salaam kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Marehemu Issa Kassim

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Wanafamilia katika kuupokea Mwili wa Marehemu Issa Kassim Issa (Baharia) aliyefariki 18-12-2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
  • WANAFAMILIA na Wananchi wakipokea mwili wa Marehemu Issa Kassim Issa (Baharia) katika bandari ya Malindi Zanzibar baada ya kuwasili na Boti ya Azam Marine, ukitokea Dar es Salaam.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwafariji na kutowa mkono wa pole kwa Watoto wa Marehemu Issa Kassim Issa,alipofika Bandari Malindi kwa ajili ya kuupokea mwili wa Marehemi Issa Kassim Issa (Baharia) aliyefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam akipatiwa matibabu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika Bandari ya boti za abiria wanaotokea Dar es Salaam kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Marehemu Issa Kassim Issa,aliyefiri leo 18-12-2021 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam,akipatiwa matibabu.(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa.