State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameendelea na ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Ujenzi wa Kituo cha Wafanyabiashara na Wajasiriamali Kitogani baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja leo 22-7-2022, kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Kituo cha Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kitogani Wilaya ya Kusini Unguja, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Kusini Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Ujenzi wa Kituo cha Wafanyabiashara na Wajasiriamali Kitogani Wilaya ya Kusini Unguja kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar Kamishna Rashid Mzee Abdallah, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja 22-7-2022, kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid.

  • WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakishanilia na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Kusini Unguja. linalojengwa kwa Fedha za Uviko-19.
  • WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kusini Unguja inayojengwa katika eneo la Kitogani, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa ziara yake katika Mkoa huo na kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kusini Unguja inayojengwa katika eneo la Kitogani kwa Fedha za Uviko-19.
  • /RAIs wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya ya Kusini Unguja Kitogani akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja, leo 22-7-2022 jengo hilo la Hospitali ya Wilaya linajengwa kwa Fedha za Uviko-19, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameaza ziara yake Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja kwa ufunguzi wa miradi ya maendeleo kituo cha wajasiriamali Pale Kiongele

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi na Wajasiriamali, baada ya kumaliza kuzungumza na kukifungua Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.
  • MWANANCHI wa Wilaya ya Kaskazini”A”Unguja akimshanulia na kupiga makofi wakati wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuzungumza na Wajasiriamali na Wananchi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Wa\jasiriamali Pale Kiogele leo 19-7-2022, Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Mhe Haji Omar Kheri.(hayupo pichani ) akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iliyoaza leo 19-7-2022,katika Wilaya na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi na Wajasiriamali, baada ya kumaliza kuzungumza na kukifungua Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.
  • WANANCHI na Wajasiriamali wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo iliyoaza leo 19-7-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.
  • WANANCHI na Wajasiriamali wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo iliyoaza leo 19-7-2022.
  • WANANCHI na Wajasiriamali wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo iliyoaza leo 19-7-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisoma maelezo ya Jiwe la Uzinduzi wa Kituo cha Wajasiriamali Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-7-2022, baada ya kukizindua,na (kushoto ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud. wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja.
  • WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mradi wa Ujenzi wa Madaasa Saba mapya ya Skuli ya Msingi Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja yaliojengwa kupitia Fedha za Uviko -19, na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo 19-7-2022.
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia baada ya kufungua Madarasa Saba mapya yaliojengwa kupitia fedha za Uviko -19, wakati wa ziara yake katika Wilaya hiyo kutembelea Miradi ya Maendeleo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea moja ya Darasa kati ya Manne aliyoyafungua leo ya Skuli ya Msingi ya Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akiwa katika ziara yake katika Wilaya hiyo iliyoaza leo 19-7-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionda pazia kuashiria kuwe Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Madarasa Manne ya Skuli ya Msingi Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa, na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja Mhe. Sadifa Juma na Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameendelea na ziara yake Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Leo 17-7-2022

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Hundi ya Shilingi Milioni Mia mbili kwa Uongozi wa Kikundi cha Ushirikia cha Umoja ni Nguvu Wauza Mbao Unguja, ikiwa ni mkopo kwa Kikundi hicho uliotolewa na Benki ya CRDB, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-7-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi ufunguo wa gari Mwenyekiti wa Kikundi cha Wajasiriamali Usafi Kwanza Bi.Fauzia Omar, kwa ajili ya kufanyia usafi katika Shehia yao lililotolewa mkopo kupitia Benki ya CRDB,kwa kikundi cha Ushirika.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Jiwe la Msingi la Mradi wa Skuli ya Msingi Mwanakwerekwe, wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-7-2022, na (kushoto)Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • MTOTO Sheghan Fesal akishangilia na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akiendelea na ziara yake leo 17-7-2022.

Ziara ya Rais Mkoa wa Mjini Magharibi

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto )alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipoisimamisha kazi Kampuni ya Assosiated Investiment& Services LTD ya Dar Es Salaam chini ya usimamizi wa Nd,Theodony Andrew Zani kutokana na utendaji wao wakazi wa kusuasua katika Shehia ya Monduli akiwa katika ziara ya kutembelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo kwa Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akimsikiliza Bibi Raifa Kibwana Mkaazi wa Dole, Wilaya ya Magharibi A akizungumzia changamoto zinazowakabili katika Shehia yao wakati wa ziara ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mwera wakati alipozindua ujenzi wa Barabara za Vijijini kwa kiwango cha lami,alianzia barabara ya Mwera -Kibondemzungu wakati wa ziara ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wanne kulia)alipokuwa akisoma maandishi ya jiwe la msingi Hospitali ya Wilaya Mbuzini mara ya kufungua pazia jiwe hilo ikiwa ni ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali hiyo leo akiwa katika ziara ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo kwa Wilaya ya Magharii “A”.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la kujenga Uchumi JKU Kanali Makame Abdalla Daima kuhusu Ujenzi wa Skuli ya Kihinani Msingi iliyojengwa na Kikosi chake Ujenzi wa madarasa kumi na mbili kupitia fedha za UVIKO 19, wakati wa ziara ya kutembelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akizungumza na Wajenzi wa Kampuni ya Ujenzi wa Tangi la Maji Safi na Salama “Mehga Ingeneering &Instruction; LTD “ambayo imeahidi kumalizika kwa ujenzi huo ifikapo Mwezi januari Mwakani,wakati wa ziara ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.
  • Maafisa wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (hayupo pichani) alipokuwa akisoma ratiba ya Ziara ya Mhe. Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kabla ya kuanza kwa ziara katika Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi leo.
  • Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Serikali wakiwa katika hafla ya usomwaji wa Ratiba ya ziara ya Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyoianza kwa kutembelea miradi ya maendeleo katika maeneo ya Shehia mbali mbali za Wilaya ya Magharibi”A” huko katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili viwanja vya ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Magharibi ”A” wakati akianza ziara yake ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisoma kitabu cha ratiba iliyokuwa ikisomwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (hayupi pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya kuanza ziara katika Wilaya ya Magharibi”A” ya kutemelea na kuangalia miradi mbali mbali ya maendeleo.
  • Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akishukuru kwa kupata taarifa ya Utekelezaji wa kazi za Mkoa katika miradi ya maendeleo kabla ya kuanza kwa ziara yake ya Wilaya ya Magharibi”A” ya kutembelea na kuangalia miradi ya maendeleo.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania amejitambulisha kwa Rais Dk.Hussein Ali Mwinyi.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mgunda wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake Kujitambulisha.