State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa wadau wa kujadili masuala mahsusi ya Zanzibar yanayohusu Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.

  • Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (haypo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
  • WAGENI waalikwa katika Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakifuatilia mkutano huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
  • MSHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar Sheikh.Saleh Mohammed kutoka Kamati ya Amani na Maridhiano Zanzibar,akichangia Mada inayozungumzia Historia ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyowasilisha katika mkutano huo na Prof Mohammed Makame Haji, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
  • MSHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar Bi. Pavu Abdalla kutoka Chama cha ACT- Wazalendo akichangia Mada inayozungumzia Historia ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyowasilisha katika mkutano huo na Prof Mohammed Makame Haji, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022,
  • MSAJILI wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Jaji Francis S.K.Mutungi akizungumza na kutowa maudhui ya Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022, uliowashirikisha Wadau wa Vyama vya Siasa Zanzibar na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (haypo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
  • VIONGOZI wa Vyama vya Siasa mbalimbali na Serikali wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar uliofanyika 4-10-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022.
  • MWENYEKITI wa Baraza la Vyama vya Siasa Mhe. Juma Ali Khatib akizungumza na kutowa Salamu za Vyama vya Siasa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanahusu Demokrasia ya Vya Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022 na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • VIONGOZI wa Vyama vya Siasa mbalimbali na Serikali wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar uliofanyika 4-10-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 4-10-2022.
  • MSAJILI wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Jaji Francis S.K.Mutungi akizungumza na kutowa maudhui ya Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022, uliowashirikisha Wadau wa Vyama vya Siasa Zanzibar na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki Uchaguzi wa CCM wa Viongozi wa Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama tarehe 2-10-2022.

  • MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Viongozi wa ngazi ya Wilaya wa CCM, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.
  • WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe baada ya kupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Wajumbe wa CCM ngazi ya Wilaya,uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama leo 2-10-2022.
  • MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini, kuhudhuria Mkutano Mkuu wa wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani, uliofanyika katika ukumbi huo leo 2-10-2022.
  • MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Viongozi wa ngazi ya Wilaya wa CCM, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.
  • WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe baada ya kupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Wajumbe wa CCM ngazi ya Wilaya,uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama leo 2-10-2022.
  • MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib, wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi CCM Ngazi Wilaya ya Amani Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini leo 2-10-2022
  • WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi ya Wilaya ya Amani wakishangilia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kuzungumza na Wajumbe baada ya kumaliza kupiga Kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Wajumbe wengizi wa ngazi ya Wilaya, uliofanyika katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa leo 2-10-2022.
  • MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini, kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uchaguzi CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi huo leo 2-10-2022