State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Oman baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, jana usiku 14-10-2022, akitokea Nchini Oman baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi ya Siku Nne Nchini humo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar, akizungumzia mafanikio ya ziara yake ya Kikazi Nchini Oman,(kulia kwa Rais)Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzinar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar, akizungumzia mafanikio ya ziara yake ya Kikazi Nchini Oman, mazungumzo hayo yualiofanyika katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, (kulia kwa Rais)Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzinar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kuelezea mafanikio ya ziara yake ya Kikazi ya siku nne Nchini Oman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, jana usiku 14-10-2022, akitokea Nchini Oman baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi ya Siku Nne Nchini humo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtawala wa Oman Mhe: Sultan Haitham bin Tariq kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Kasr

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mtawala wa Oman Mhe: Sultan Haitham bin Tariq kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Kasri la Sultani la Alm Barakah.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika siku yake ya pili ya ziara nchini Oman amekutana na kufanya mazungumzo na Mtawala wa Oman Mhe: Sultan Haitham bin Tariq kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Kasri la Sultani la Alm Barakah.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika siku yake ya pili ya ziara nchini Oman amekutana na kufanya mazungumzo na Mtawala wa Oman Mhe: Sultan Haitham bin Tariq kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Kasri la Sultani la Alm Barakah.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtawala wa Oman Mhe: Sultan Haitham bin Tariq kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Kasri la Sultani la Alm Barakah.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtawala wa Oman Mhe: Sultan Haitham bin Tariq kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Kasri la Sultani la Alm Barakah.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mtawala wa Oman Mhe: Sultan Haitham bin Tariq baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Kasri la Sultani la Alm Barakah.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameondoka nchini akielekea nchini Oman kwa ziara ya kikazi ya siku nne nchini humo 11-10-2022.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Oman kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Nne Nchini humo leo 11-10-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na kuagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchini Oman kwa ziara ya siku nne ya Kikazi Nchini humo leo 11-10-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Oman kwa Ziara ya Kikazi ya Siku Nne Nchini humo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimia na kuagana na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchi Oman kwa ziara ya Kikazi ya Siku nne Nchini humo leo.11-10-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono na kuwaaga Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Siasa, wakati akiondoa Nchini akielekea Nchini Oman kwa ziara ya Kikazi ya Siku Nne Nchini humo.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhiwa Ripoti ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya siasa Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar,na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo iliyofanyika leo 10-10-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • WAJUMBE wa Kamati Maalum ya (Kikosi Kazi) Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 10-10-2022 na wa kwanza Mwenyekiti wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ) Dkt.Ali Uki na Makamu Mwenyekiti Mhe Balozi Amina Salum Ali.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi) wakati wa kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi) wakati wa kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022
  • KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Jaji Francis Mutungi na Viongozi wengine wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022
  • WAJUMBE wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ) ya Kuchambua maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vya Siasa Zanzibar , wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza kabla ya kukabidiwa Ripoti ya Maoni ya Wadau, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022
  • WAJUMBE wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ) ya Kuchambua maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vya Siasa Zanzibar , wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza kabla ya kukabidiwa Ripoti ya Maoni ya Wadau, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja na kujumuika katika ibada ya Sala ya Ijumaa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-10-2022,na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid na (kushoto kwa Rais) Msimamizi wa ujunzi wa Msikiti huo Shikh.Mohammed Hamdan Mohammed, baada ya ufunguzi huo amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo
  • WANANCHI wa Kijiji cha Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Msikiti huo wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja leo 7-10-2022
  • USTADH.Ali Hassan Abdalla akisoma risala ya Kamati ya Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja wakati wa ufunguzi wa Msikiti huo uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na kujumuika na Wananchi wa Kijiji hicho katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 7-10-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-10-2022,na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid na (kushoto kwa Rais) Msimamizi wa ujunzi wa Msikiti huo Shikh.Mohammed Hamdan Mohammed, baada ya ufunguzi huo amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Viongozi wa Kamati ya Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja, alipowasili katika viwanja vya Masjid hiyo kwa ajili ya ufunguzi wa Msikiti huo na kujumuika katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika baada ya ufunguzi wake na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja 7-10-2022, baada ya ufunguzi huo amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja 7-10-2022, baada ya ufunguzi huo amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Msikiti huo wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri 7-10-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Msikiti huo wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri 7-10-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi(kulia kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume.