State House Blog

Mhe:Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Uongozi wa NMB

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Kadi yake ya ATM baada ya kukabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo 10/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza akiwa na Ujumbe wake (kulia) mazungumzo hayo yamefanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza akiwa na ujumbe wa Maafisa Wakuu wa Vitengo vya Benki ya NMB, hafla hiyo imefanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Ujumbe wake wa Maafisa wa Vitengo mbalimbali vya Benki ya NMB, baada ya kumalizika mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kadi yake ya ATM na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza akiwa na ujumbe wa Maafisa Wakuu wa Vitengo vya Benki ya NMB, hafla hiyo imefanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna alipofika ikulu na Ujumbe wake (kulia) Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Wafanyabiashara Ndg. Fillbert Mponzi na Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara wa NMB Ndg. Alfred Shao, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar