State House Blog

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewatembelea wazee wa Sebleni Zanzibar na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwakabidhi Futari Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni jijini Zanzibar alipofika kuwasalimia katika makaazi yao Sebleni na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya matumizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni baada ya kuwasalimia na kuwakabidhi futari kwa ajili ya matumizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwakabidhi Futari Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar alipofika kuwasalimia katika makaazi yao Sebleni na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya matumizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
  • Bi. Asaa Ali Issa akitowa shukrani kwa niaba ya Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika katika makaazi ya Wazee Sebleni kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto anayeshughulikia (Ustawi wa Jamii,Wazee, Jinsia na Watoto ) Bi. Abeida Rashid Abdallah akizungumza wakati wa alipofika katika makaazi ya Nyumba za Wazee Sebleni kuwasalimia na kuwakabidhi Futari na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
  • BAADHI ya Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni wakimshangilia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika katika makazi yao kwa ajili ya kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika makaazi yao Sebleni Jijini Zanzibar
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na (kulia kwake) Naibu Katibu Mkuu Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Bi.Abeida Rashid Abdallah na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana