State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika Katika Ibada ya Sala Ya Isha na Tarawekh na Wananchi wa katika Masjid Sunna Rahaleo.

  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) wakisubiri Sala ya Tarawekh baada ya kumalizika kwa Sala ya Isha iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku 21-4-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Masjid hiyo Sheikh Ahmed Haidar Jabir.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akivuta uradi baada ya kumaliza kwa Sala ya Isha iliofanyika katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar, (Msikiti wa Bachu Rahaleo) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Masjid Sunna Rahaleo Sheikh Ahmed Haidar Jabir
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) wakisubiri Sala ya Tarawekh baada ya kumalizika kwa Sala ya Isha iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku 21-4-2021