State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Eid El Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima ilioandaliwa na gwaride maalum la Kikosi cha FFU katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, wakati wa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi huo.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Wake wa Viongozi na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakijumuika katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi. (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Alhaj Dkt.Amani Karume na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar. Mhe.Haroun Ali Suleiman.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Wake wa Viongozi na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akilihutubia Baraza la Eid El Fitry,lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • VIONGOZI wa meza kuu wakifuatilia hubata ya Baraza la Eid El Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akilihutubia katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid El Fitry, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • BAADHI ya Wananchi wa Zanzibar wakihudhuria Baraza la Eid El Fitry wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akilihutubia Baraza katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpa Mkono wa Eid Bw. Mohammed Ali Mzee, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
 • BALOZI Mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe. Mohamed Ibrahim Al-Bulushi.Akiwa na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid El Fitry, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar