State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi amehudhuria hauli ya Marehemu Alhabab Ahmad Bin Abubakar Bin Sumeyt msikiti mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini alipowasili katika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Hauli ya Alhabib Sheikh Ahmad bin Abubakar Bin Sumeyt,miaka 100 tangu kufariki kwake.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Du,Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Alhabib Ali bin Muhammad Hapshi baada ya kumalizika kwa hauli ya kumombea Marehemu Alhabib Ahmad bin Abubakar bin Sumeyt na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, dua hiyo iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindu Unguja Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Hauli ya miaka 100 ya Marehemu Alhabib Ahmad bin Abubakar bin Sumeyt, iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2022.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Alhabib Muhammed bin Omar, wakielekea katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja baada ya kumaliza kumsomea dua marehemu Alhabib Ahmad bin Abubakar bin Sumeyt.kwa ajili ya kisomo cha Hauli ya marehemu kutimia miaka 100 tangu kufa kwake.
  • WANAZUONI mbalimbali na Wananchi wa Zanzibar wakijumuika katika Hauli ya kumuombea Marehemu Alhabib Ahmad bin Abubakar bin Sumeyt iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2022.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Maulamaa(Wanazuoni) katika eneo la kaburi la Marehemu Alhabib Ahmad bin Abubabar bin Sumeyt wakimuombea dua ikiwa ni hauli ya kutimiza miaka 100 tangu kufariki kwake,(kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, Alhabab Aliu Bin Mohammed Hapsi na Sayyid Ahmad Mwinyi Baba,