State House Blog

Rais wa Zanzibar amekutana na Mwakilishi wa Heshima wa Slovakia.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw (katikati)alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha akiwepo na Mratibu wake hapa Zanzibar Mhe.Ibrahim Rara.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha.