State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.,Dk.Hussein Mwinyi ameifungua Barabara ya Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Pemba ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi wa ZIPA Pemba na Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara maeneo huru ya Uchumi Micheweni Koa wa Kaskazini Pemba Mhandisi Suleiman Abdallah Ali akitowa maelezo ya Mradi huo wakati wa Uzinduzi wa wa Barabara ya Maeneo Huru ya Uchumi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni shamrashara za sherehe za Maadhimisho ya Miako 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,uzinduzi huo uliofanyika leo 23-4-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Barabara ya Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni Shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miako 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff na Mkurugenzi wa IRIS Mr.Suleiman,uzinduzi huo uliofanyika leo 23-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Mradi wa Barabara Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, mradi huo uliozinduliwa 23-4-2024,ikiwa ni shamrashara za sherehe za Maadhimisho ya Miako 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji katika Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti Maalum na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohamed (kulia kwa Rais) baada ya Kuzindua Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uzinduzi huo uliyofanyika leo 20-4-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais) Rais wa Taasisi ya Wasanifu, Wahandisi na Wakadiriaji Mhandisi.Abdulsamad M.Mattar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Masoko wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) Ndg.Nurdin Hussein Mohamed,wakati akitembelea maonesho katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliyofanyika 20-4-2024, katika ukumbi wa hoteli hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Kampuni ya PADDCO Ndg. Afla Abdalla Mrusi,wakati akitembelea maonesho ya Wahandisi katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, kabla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliyofanyika leo 20-4-2024, katika ukumbi wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Mohamed Salum na (kulia kwa Rais) Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo cha Karume Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar, akitowa maelezo ya ufundi wa utengenezaji wa mashine za ndege,wakati akitembelea maonesho ya Wahandisi katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, kabla ya Kuzindua Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliyofanyika leo 20-4-2024, katika ukumbi wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt .Khalid Mohamed Salum na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt.Mngereza Mzee Miraji
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza akimsikiliza Mwakilishi wa Rak Mhandisi Mbarouk Masoud Mbarouk , akitowa maelezo ya vifaa vya ujenzi,kabla ya Kuzindua Taasisi ya Wasanifu, Wahandisi na Wakadiriaji ,uliyofanyika 20-4-2024, katika ukumbi wa hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Mohamed Salum na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Dkt.Mngereza Mzee Miraji na (kulia kwa Rais) Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Kampuni ya Al Hatmy Desigh&Engineering; Consultancy Zanzibar Ndg. Abdulrahaman Muhoma akitowa maelezo ya michoro ya majengo inayojenga kampuni hiyo Zanzibar,wakati akitembelea maonesho ya Wahandisi katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, kabla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu, Wahandisi na Wakadiriaji, uliyofanyika 20-4-2024, katika ukumbi wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Mohamed Salum na (kulia kwa Rais) Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja. Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Kampuni ya Al Hatmy Desigh&Engineering; Consultancy Zanzibar Ndg. Abdulhamid Mohammed Ali Mhoma akitowa maelezo ya michoro ya majengo inayojenga kampuni hiyo Zanzibar,wakati akitembelea maonesho ya Wahandisi katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, kabla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliyofanyika leo 20-4-2024, katika ukumbi wa hoteli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt .Khalid Mohamed Salum na (kulia kwa Rais) Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja. Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
  • BAADHI ya Wahandisi,Wasanifu na Wakadiriaji wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizindua Taasisi hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-4-2024
  • BAADHI ya Wahandisi,Wasanifu na Wakadiriaji wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizindua Taasisi hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-4-2024
  • BAADHI ya Wahandisi,Wasanifu na Wakadiriaji wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizindua Taasisi hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Taasisi, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliofanyika 20-4-2024 katika ukumbi wa Hoteli hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-4-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-4-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-4-2024.

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hueein Mwinyi ameufungua Masjid Al Abraar Tazari na kujumuika katika Ibada ya Sala ya Ijumaa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Abraar Tazari,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari uliyofanyika leo 19-4-2024
  • MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi wa Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 19-4-02024, katika hafla ya ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari
  • WANANCHI wa Kijiji cha Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari uliofanyika leo 19-4-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Tazari katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari uliyofanyika leo 19-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Tazari baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja uliyofanyika leo 19-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Tazari baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja uliyofanyika leo 19-4-2024
  • WANANCHI wa Kijiji cha Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari, uliofanyika leo 19-4-2024
  • WANANCHI wa Kijiji cha Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari, uliofanyika leo 19-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Tazari baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja uliyofanyika leo 19-4-2024
  • SHEHA wa Shehia ya Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja akizungumza na kutowa shukrani za Wananchi wa Kijiji cha Tazari, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 19-4-2024, wakati wa ufunguzi wa Msikiti huo uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi na kujumuika katika Ibada ya Sala ya Ijumaa
  • WANANCHI wa Kijiji cha Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Al Abraar Tazari, uliofanyika leo 19-4-2024.
  • MUONEKANO wa Masjid Al Abraar Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, na kujumuika na Wananchi wa Kijiji cha Tazari katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 19-4-2024 katika Masjid hiyo

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Gonge ikiwa ni Shamrashamra za maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akihutubia baada ya ufunguzi wa jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 17-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsalimia na Mzee Omar Seif Mussa Mkaazi wa Donge Choke Mkoa wa Kaskazini Unguja,baada ya kumaliza kwa hafla ya Ufunguzi wa jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge, uzinduzi huo uliofanyika 17-4-2024
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Donge wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kulifungua jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 17-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, akihutubia baada ya ufunguzi wa jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 17-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Donge wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kulifungua jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 17-4-2024, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • WANANCHI Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kuifungua Skuli Mpya ya Msingi ya Hamid Ameir Donge leo 17-4-2024, ikiwa ni sherehe za shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akitembelea jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua rasmin leo 17-4-2024, akiwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • WANANCHI Kijiji cha Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kuifungua Skuli Mpya ya Msingi ya Hamid Ameir Donge leo 17-4-2024, ikiwa ni sherehe za shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mwakilishi wa Jimbo la Donge pia ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, uzinduzi huo uliyofanyika leo 17-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid, alipowasuli katika viwanja vya Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir kwa ajili ya ufunguzi wa jengo jipya la Skuli hiyo, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla hiyo iliyofanyika leo 17-4-2024
  • MUONEKANO wa jengo jipya la Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja, iliyofunguliwa leo 17-4-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaki 60 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mkutano wa Mafunzo kwa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya SADCOPAC katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mafunzo wa Kuwajengea Uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Uguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mafunzo wa Kuwajengea Uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Uguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mafunzo wa Kuwajengea Uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Uguja Jijini Zanzibar 17-4-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Mafunzo wa kuwajengea uwezo pamoja na ufanyaji kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mafunzo wa Kuwajengea Uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Uguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Mafunzo wa kuwajengea uwezo pamoja na ufanyaji kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024.
  • BAADHI ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Kamati mbalimbali za Bunge wakifuatila hutuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa mafunzo ya kuwajengea uwezo pamoja na ufanyajikazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akifungua na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024
  • BAADHI ya Makatibu Wakuu wa SMZ wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Mafunzo wa kuwajengea Uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Mafunzo wa kuwajengea uwezo pamoja na ufanyaji kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Mafunzo wa Kuwajengea Uwezo Taasisi za Ukaguzi na Mabunge ya (SADCOPAC) unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Uguja Jijini Zanzibar leo 17-4-2024