State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na uongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu kinachohusiana na Jumuiya ya Istiqaama, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam ya Istiqaama Zanzibar, Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo 4-6-2022, na Ujumbe wa Jumuiya hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar Sheikh.Sultan Khamis Mbarouk akizungumzia changamoto za Jumuiya yao wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 4-6-2022, walipofika kujitambulisha na kuelezea kazi za Jumuiya yao kwa Jamii ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Ujumbe wa Jumuiya ya Istiqaama Zanzibar ukingozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Sheikh.Salum Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 4-6-2022.