State House Blog

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi anaendelea na ziara yake Kisiwani

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Shumba Mjini wakati wa ziara yake kukagua Bandari ya Shumba Mjini, bandari hiyo inatarajiwa kurasimishwa na kujengwa ili kutowa huduma kwa wananchi wa Kijiji hicho
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Shumba Mjini wakati wa ziara yake kukagua Bandari ya Shumba Mjini, bandari hiyo inatarajiwa kurasimishwa na kujengwa ili kutowa huduma kwa wananchi wa Kijiji hicho
 • KATIBU wa Bandari ya Shumba Mjini Bw.Hussein Rashid akizungumza changamoto katika bandari hiyo. Wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)akiwa katika ziara yake kutembelea Bandari ya Shumba Mjini ambayo inatarajiwa kurasimishwa.
 • WANANCHI wa Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao,wakati wa ziara yake Mkoa wa Kaskazini Pemba kuangalia eneo la Bandari ya Shumba Mjini na kupata maelezo mafupi juu ya bandari hiyo inahitaji kurasimishwa na kuwa bandari rasimin.
 • WANANCHI wa Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao,wakati wa ziara yake Mkoa wa Kaskazini Pemba kuangalia eneo la Bandari ya Shumba Mjini na kupata maelezo ya mafupi juu ya bandari hiyo inahitaji kurasimishwa na kuwa bandari rasimin.
 • WANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wakulima wa zao la mwani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ilioaza.
 • KATIBU wa Kamati ya Kilimo cha Mwani Kiuyu Mbuyuni Bi. Bimkubwa Mkashasha Shaame akizungumzia changamoto za zao la mwani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi wakati wa ziara yake kuwatembelea wakulima wa Mwani katika Kijiji cha Kiuyu mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba leo 31-8-2021.
 • Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya CRDB Bw.Toyi Ruvumbagu akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) wakati wa ziara yake kuwatembelea Wakulima wa Zao la Mwani katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba Benki ya CRDB itatowa mkopo kwa Wakulima wa Mwani na Vijana wa Bodaboda Pemba
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Bw.Khatib Mshindo mkulima wa Mwani akizungumza changamoto za zao la Mwani wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kuzungumza na Wakulima wa mwani wa Kiuyu mbuyuni leo 31-8-2021
 • BAADHI ya Mawaziri na Mkuu wa Mkoa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni. Wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.
 • MWANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Bw.Hamad Kombo Msolopo akizungumza kero yake wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika kuzungumza na Wakulima wa Kilimo cha Mwani katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.