State House Blog

Ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar na Mahfali ya Kwanza.

 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said (katikati)wakifuatana na Viongozi wengine alipowasili katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo(kulia) Mjumbe wa Bodi ya Maarif kutoka nchini Uturuku Prof.Aysen Gurshan na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Dkt.Mehment Gulluoglu.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa nne kulia)akiwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto kwa Mama) pamoja na Viongozi mbali mbali alipotembelea darasa la Komputa baada ya kuifungua wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyipamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulinihapo akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo(kulia) Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Dkt. Mehment Gulluoglu na Mjumbe wa Bodi ya Maarif kutoka nchini Uturuku Prof.Aysen Gurshan (katikati).
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto)akiwaangalia wanafunzi Majid Mohamed Msanif na Hajra Ali Khamis walipokuwa wakifanya mazoezi ya Vitendo alipotembelea Chumba cha Maabara baada ya kuifungua wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo leo(katikati) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akimakbidhi cheti Mwanafunzi Ayman Juma Malik akiwa Mwanafunzi Bora katika wahitimu wa kidatu cha sita katika sherehe ya mahfali ya kwanza ya Skuli ya Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Mjini Magharibi Ufunguziwa Skuli hoyo alipomuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akimakbidhi cheti Mwanafunzi Nassir Kassim Mzee akiwa Mwanafunzi Bora katika wahitimu wa kidatu cha sita katika sherehe ya mahfali ya kwanza ya Skuli ya Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Mjini Magharibi Ufunguzi wa Skuli hoyo leo alipomuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati)akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyipamoja na sherehe ya Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita skulini hapo.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akiwazawadia Wanafunzi Hajra Ahmed na Akmal Ahmed mara baada ya Wimbo maalum ulioimbwa na wanafunzi wa Maandalizi wakati wa sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo.
 • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akiwasalimia wanafunzi wa Maandalizi katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo amemuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo leo walipokuwa wakiimba wimbo maalum.
 • Wazee wa Wanafunzi wanaosoma katika Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Skuli hiyo iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo wakimsikiliza Mgeni rasmi Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi.
 • Baadhi ya wageni kutoka Uturuki waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hapo ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi.
 • Wanafunzi wakiimba wimbo maalum wakati wa sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Turkish Maarif Zanzibar iliyopo Kijiji cha SoS Mombasa Jijini Zanzibar sambamba na Mahfali ya kwanza ya kidato cha sita Skulini hap oleo ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi katika sherehe hiyo.