Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Makamu wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wakifuatana wakati wakitoka nje ya ukumbi wa Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM Taifa uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam