Media

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi ametembelea Kiwanda cha Indesso.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na ujumbe wake, ametembelea Kiwanda cha INDESSO cha kusarifu majani ya mkarafuu na kutengeneza mafuta…

Read More

Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amebainisha kuwa uhusiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Indonesia umekuwa maradufu ikizingatiwa ongezeko la thamani ya mauzo ya nje kutoka Tanzania kwenda Indonesia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amebainisha kuwa uhusiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Indonesia umekuwa maradufu ikizingatiwa ongezeko…

Read More

Rais Dk. Mwinyi: amesema Tanzania iko tayari kujifunza kupitia sekta ya Uchumi wa Buluu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mageuzi ya kiuchumi ya Indonesia katika sekta mbalimbali kama vile uchimbaji wa mafuta na gesi, kilimo…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la la Mapinduzi Mhe: Dk. Hussein Mwinyi amesema Zanzibar ina nafasi nzuri ya kujifunza kutoka Indoneshia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar ina nafasi nzuri ya kujifunza mambo mbalimbali kikiwemo kilimo na usarifu wa mwani, uchimbaji…

Read More