State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Skuli ya Msingi Makangale Pemba.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa, wakati akitembelea jengo la Skuli ya Msingi Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba leo 26-7-2022, akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Makangale, wakielekea katika eneo lililotengwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba akiendelea na ziara yake Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.26-7-2022.
  • BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari na Msingi Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika viwanja vya Skuli ya Msingi Makangale baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Msingi Makangale.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba na (kushoto kwa Rais ) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nsekela na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, ufunguzi huo wa Tawi la Benki ya( CRDB) uliofanyika.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Mussa Nsekela kuashiria kulifungua Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, ufunguzi huo uliofanyika 25-7-2022, Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza lac Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika hafla ya ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba 25-7-2022, wakati wa ziara yake katika Mkoa huo, kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo.
  • WANANCHI wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwahutubia katika hafla ya Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wete Pemba.
  • MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmaji Mussa Nekela akizunguma na kutowa maelezo kuhusiana na hutuma mbalimbali zinazotolewa na Benki yake kwa Wananchi, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, lililofunguliwa,na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa katrika ziara yake Pemba.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya nje wa Oman Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman anayeshughulikia Fedha na Utawala Mhe. Mohammed Nasser Al Wahaibi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-7-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Fedha na Utawala Mhe. Mohammed Nasser Al Wahaibi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-7-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisakimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman anayeshughulikia Fedha na Utawala Mhe. Mohammed Nasser Al Wahaibi , alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-7-2022, akiongozana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saud Hilal Al Shidhani na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Fedha na Utwala Mhe. Mohammed Nasser Al Wahaibi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-7-2022, akiongozana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saud Hilal Al Shidhani na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi.

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KATI UNGUJA.

  • MUONEKANO wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya ya Kati Pongwe Mwera iliyowekwa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo, na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , inayojengwa kwa Fedha za Mkopo nafuu wa Uviko-19 , akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja .
  • WANANCHI wa Pongwe Mwera wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani ) akizungumza na Wananchi wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kati Unguja Pongwe Mwera, leo wakati akiendelera na ziara yake kwatika Mkoa wa Kusini Unguja leo 23-7-2022.
  • WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Kisasa ya Wilaya ya Kati Unguja, inayojengwa kwa Fedha za Uviko 19, kabla ya kumkaribisha mgeni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.(hayupo picha).
  • WANANCHI wa Pongwe Mwera wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani ) akizungumza na Wananchi wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kati Unguja Pongwe Mwera, leo wakati akiendelera na ziara yake kwatika Mkoa wa Kusini Unguja leo 23-7-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amendelea na ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kusini inayojengwa Kitongaji kupitia Fedha za Uviko-19, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 22-7-2022, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
  • MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid akisoma Taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wake, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Wilaya ya Kusini Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Wizara ya Afra Zanzibar Said Ali Bakar, akitowa maelezo ya michoro ya Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya Kitogani Wilaya ya Kusini Unguja, wakati wa ziara yake katika Wilaya hiyo kutembelea Miradi ya Maendeleo, hospitali hiyo inayojengwa kwa Fedha za Uviko-19, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Hassan Hafidh Khamis.
  • BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia taarifa ya utekelezaji wa Kazi za Maendeleo za Mkoa ikisomwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid, katika ukumbi wa Ofisi ya Mkoa Tunguu 22-7-2022, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja.
  • BAADHI ya Watendeji wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo wakati ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadih Rashid,katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 22-7-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Ripoti ya Utekelezaji wa Kazi za Maendeleo za Mkoa wa Kusini Unguja,kabla ya kuaza kwa ziara yake katika Mkoa huo, taarifa hiyo iliowasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini katika ukumbi wa Ofisi ya Mkoa Tunguu Wilaya ya Kusini Unguja 22-7-2022,na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe Masoud Ali Mohamed