State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR MHE.HUSSEIN ALI MWINYI AMEAZA ZIARA MKOA KASKAZINI PEMBA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali mwinyi akisoma taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi mikutano wa Micheweni.
  • BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara katika Mkoa huo.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Micheweni
  • BAADHI Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya utekelezaji ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba

Rais wa Zanzibar amekutana na Mwakilishi wa Heshima wa Slovakia.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw (katikati)alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha akiwepo na Mratibu wake hapa Zanzibar Mhe.Ibrahim Rara.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mabalozi wa Nchi ya Ujerumani,Rwanda na Kuwait Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania.Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania.Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Rwanda Nchini Tanzania Mhe.Maj.Gen.Charles Karamba,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regina Hess, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazunguzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo na Ushirikiano Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Dr.Katrin Bornemann, wakati wa mazungumzo na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe. Regina Hess.(kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Mubarak Mohammed Alsehaijan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Rwanda Nchini Tanzania Mhe.Maj.Gen.Charles Karamba (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Afisa wa Ubalozi wa Rwanda. Bw.Issa Mugabutsinze, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Ufunguzi wa Mafunzo ya Wajasiria Mali katika Kijiji cha Kizimkazi Kusini Unguja.

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja kufungua mafunzo ya wajasiriamali pamoja na Tamasha la Kizimkazi chini ya usimamizi wa Benki ya CRDB Tanzania.
  • Wajasiriamali wa Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja wakiwa katika mafunzo yanayohusu kazi zao yaliyofunguliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania.
  • Wajasiriamali wa Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja wakiwa katika mafunzo yanayohusu kazi zao yaliyofunguliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kufungua wa mafunzo ya wajasiriamali pamoja na Tamasha la Kizimkazi yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania,hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Skuli ya Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Hafla ya kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

  • MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) Mhe.Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage, akiwasilisha Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika Mwaka 2020, wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.(kushoto) na (kulia) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakifuatilia ripoti hiyo, ikiwasilishwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Saaam.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama baada ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani)akizungumza baada ya kukabidhiwa kwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kwa mwaka 2020, na(kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwake) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwake) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim MajaliwaMajaliwa ,wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan,baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage,(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Da es Salaam
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutibia katika hafla ya kukabidhiwa kwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka jana 2020, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwake) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Athuman Kattanga,wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage,(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Da es Salaam.