State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali na Waandishi, ikiwa ni kawaida yake kuzungumza na Wahariri na Waandishi wa habari kila mwisho wa mwezi,mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MWANDISHI wa habari kutoka Gazeti la Uhuru akiuliza swali wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatiliwa mswali yanayoulizwa na Waandishi wa habari wa vyomba mbalimbali wakati wa mkutano wake na Wahariri na Waandhishi wa habari wa vyombo mbalimbali hufanyika kila mwisho wa mwezi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2022.
  • WAHARIRI na Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari Magazeti na Tv, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza ikiwa ni mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri na Waandishi , mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi wa Opec Fund Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Ujumbe wa Opec Fund ukiongozwa na Mkurugenzi Dkt.Abdulhamid Al Khalifa (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 30-3-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi wa OPEC FUND. Dkt. Abdulhamid Al Khalifa. (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe Tony Blair,wakizungumza na kuagana baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe.Tony Blair, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar ambae pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua Kongamano la maadhimisho ya wiki ya Wazazi.

  • WAHESHIMIWA Wabunge,Wawakilishi na Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano la kuadhimisha Wiki ya Wazazi Tanzania, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa Amani Unguja leo.26-3-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum iliyotolewa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania akikabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa Wazazi Tanzania Bw. Haidar A.Haji , wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Wiki ya Wazazi Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa Amani na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
  • WAHESHIMIWA Wabunge,Wawakilishi na Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano la kuadhimisha Wiki ya Wazazi Tanzania, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa Amani Unguja leo.26-3-2022.
  • WAJUMBE wa Kongamano la Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiwa wamebeba mabango ya picha za Viongozi wakati Kikundi cha Taarab cha Big Stars wakitowa burudani kabla ya ufunguzi wa Kongamano la Wiki ya Wazazi, hilo lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa meza kuu (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Bw.Edmond Mndolwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa CCM Mkoa Amani Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Taifa baada ya kuwasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa Amani Unguja kuhudhuria ufunguzi wa Kongamano la Jumuiya ya Wazazi Tanzania.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika matembezi na mazoezi ya viungo viwanja vya Muyuni C Unguja.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja na Vikundi vya mazoezi katika matembezi yalioazia Mchangamle na kumalizia katika viwanja vya mpira Muyuni C kwa mazoezi ya pamoja ya viungo (kushoto kwa Mama) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Bw.Rashid Makame Shamsi (kulia kwa Mama) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais Mama Zainab Kombo Shaib na Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mhe. Marina Thomas.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika matembezi ya mazoezi ya Viungo yalioazia katika viwanja vya Mchangamle na kumalizia katika viwanja vya mpira vya muyuni C Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto kwake)Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • WATALII kutoka Nchini Spain wakishirika katika matembezi ya mazoezi ya viungo yalioandaliwa na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation yalioazia katika viwanja vya mchangamle na kumalizika katika viwanja vya mpira vya Muyuni C kwa mazoezi ya pamoja ya viungo.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wananchi na Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumaliza matembezi yalioendana na mazoezi ya Viungo yaliofanyika katika viwanja vya Mpira vya Muyuni C Mkoa wa Kusini Unguja yaliowashirikisha Vikundi vya Mazoezi ya Viungo vya Mkoa huo.